Joshua 24:30

30 aNao wakamzika katika nchi ya urithi wake, huko Timnath-Sera
Unajulikana pia kama Timnath-Heresi, ona Yos 19:50; Amu 2:9.
katika nchi ya vilima ya Efraimu, kaskazini ya Mlima wa Gaashi.

Copyright information for SwhNEN